Jangili La Kimataifa
Member
- Jun 13, 2024
- 8
- 7
Hivi kwanini mnaandika upuuzi kama huu? Kama haujui kitu si unakaa kimya tu mpumbavu wewe?Unaifahamu hadithi ya sungura hapo waliokupandia walikula mbegu
Mimi ni mpumbavu ni kweli kwa sababu nimeshindwa kujua hata mbegu za matikiti zinaota baada ya muda gani! Lakini najishughulisha na kilimo cha matikiti!Hivi kwanini mnaandika upuuzi kama huu? Kama haujui kitu si unakaa kimya tu mpumbavu wewe?
Hakuna anaefanya shughuli za kilimo akajibu ujinga kama uliofanyaMimi ni mpumbavu ni kweli kwa sababu nimeshindwa kujua hata mbegu za matikiti zinaota baada ya muda gani! Lakini najishughulisha na kilimo cha matikiti!
Mkuu pita hapa kidogoMimi nakushauri tu ongeza bidii katika kazi yako usikwazike na wasiopenda maendeleo yako.
Shimo lake liwe na urefu fani, na umbali wa shimo na shimo ni kiasi gani?Mkuu pita hapa kidogo
Unapohitaji kupanda tikiti hakikisha umeziloweka kwenye maji masaa12 ama zaidi Kisha zitoe zifunge kwenye kitambaa Cha cotton na uzimwagie maji.
Baada ya hapo ziache Tena masaa12 kesho yake panda zitakuwa zimeanza kupasuka (kuashiria kuota)
Ukipanda hesabu siku3 tu zote zimeota vzr
ZINGATIA:Usiweke udongo mwingi pindi unapopanda. Ahsantee
Binafisi Mimi hupanda mita1 shina Hadi shina na mstari Hadi msatari ni mit1:30-50 HiviShimo lake liwe na urefu fani, na umbali wa shimo na shimo ni kiasi gani?
Tunaomba msitulishe sumu hiziHabari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo,
Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na nimeanzà kupata mashaka ushauri wàdau 🙏
sm 30 ni sawa na futi moja kwenda chini. Hiyo mbegu itaota kweli?Binafisi Mimi hupanda mita1 shina Hadi shina na mstari Hadi msatari ni mit1:30-50 Hivi
Urefu wa shimo(nadhani ulimanisha kina?) hapo Sina kipimo sahihi maana Huwa natifua tifua sana naweza kisia ni sm25-30 hiv kulingana na ardhi yenyewe.
Hujaelewa ila vile umeuliza naomba nikujibu .....sm 30 ni sawa na futi moja kwenda chini. Hiyo mbegu itaota kweli?