Ushauri kuhusu kodi

More Chances

Senior Member
Joined
Jun 24, 2022
Posts
151
Reaction score
344
Habari za leo waungwana

Naombeni kufahamishwa kuhusu Utaratubu wa Leseni ya biashara mpya. Hasa kwa mimi ambaye tayari nina TIN
ambayo ni nonbussiness. Pia makadirio ya kodi kwa biashara ya mtaji chini ya million 3.

Pia nitafurahi kama mtaigusia concept ya EFD machine , inatumiwa na aina gani ya biashara.

Pia kama kuna Ma Afisa wa TRA humu ni vema mkatumia uzi huu kutupa semina ili badae msitukamate huko mitaani
Ahsanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…