ushauri kuhusu kuacha ualimu

ushauri kuhusu kuacha ualimu

Tz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB

Wat the hell is this...q..q....q instead of k....rubish
 
Ki ukweli mwenzenu ndoto yangu ilikuwa kusomea urubani lakin kutokana na kutofanikiwa kwenda A level,nikaenda UALIMU! Ila c fan yangu.NIFANYAJE?
Una maana gani kusema si fani yako!!?? unaweza kusema halikua chaguo lako, lakini huwezi kusema sio fani yako wakati tayari umeshahitimu! kama bado uko chuoni hapo nakuelewa, na inabidi uache chuo mara moja urudi mtaani ili kuwaza mbinu nyengine ya maisha....
 
Tz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB
Mwe kwani mwanangu una umri gani?
 
kwa kwel mzimu wa ndalichako unakusumbua na kwa stail hii ya uandishi cku moja itakugarimu duniani na hata mbinguni kama c peponi
 
Hawa ndo walimu uchwara wanaofelisha watoto wetu ulifuata nini huko kama ulikuwa hukupendi.

...Acha dharau pimbi wewe,kama maprofesa wanakimbilia kwenye siasa unashangaa nini kwa mwalimu kukimbia ualimu? wangapi walikua walimu but wameamua kuachana nao sasa hivi wapo kwenye sekta nyingine tofauti na ualimu.
 
Tz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB

Hapa ndo umeandika nin?? Kajifunze iuandika mkuu!!
 
Jiendeleze utafanukiwa! Ualimu siku hizi nao ni dili mbona watu wengi wanaishi vizuri tu? Tene wanakopesheka na mabenki mengi!
 
Back
Top Bottom