Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

kruzostom

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2024
Posts
310
Reaction score
419
Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
 
Kwann usiende VETA ili ukimaliza ukawa uko vzur kimaisha kumbe chuo chenyewe Kampala aisee nakuonea huruma dogo na hili life la mtaani yaan ss ivi waliograduate miaka minne nyuma wanalia sijui ww baada ya iyo miaka mitatu mbele hali itakuaje fanya maamuzi sahihi bora uende hata kozi za mifugo na kilimo atleast naona wanatoka sn ila izo kozi unazosoma utakuja kurud tena hapa 2027
 
Kama unajiweza kifedha hakuna linaloshindikana na matokeo yako yanaridhisha unaweza kubadili ..Muda wa kubadili kozi unakuwepogi kabisa
 
Ufaulu wako ukoje? Maana pale kama matokeo yako ni mazuri wanaangalia hela tu. Na unataka kwenda kozi gani? Kuwa specific nijue nakushauri vipi
 
Wahi mapema sana utaratibu wa kubadilisha kozi. Zingatia neno kuwahi mapema sana
 
Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics

Vipi umesha malizana nao au ?
 
Kwani chuo cha Kampala kimesajiliwa sasa hivi???
 
Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics

Vipi umesha malizana nao au naona yuko c

Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics

Vipi umesha malizana nao au ?
Yuko confused huyu bado hajaamua moja. Kuna thread kwel alidai kaconfirm UDOM BSc in physics. Huku bado kashikiria na Kampala 😅😅🙌..!! Awe makini tu katika kumake conclusion coz Watu watashaur sana ila mwisho wa siku wa kutoa maamzi ni yeye mwenyew.
 
Cha kujiuliza hapo Kampala amepata lini? Ingekuwa amechaguliwa multiple University hapo sawa

Second round ndio application zinaendelea .
 
Back
Top Bottom