Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

Ushauri kuhusu kuhamia kwangu

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua niliyofikia mawazo yanakuja mengi mengi kuwa nisubiri ili nilipe kodi ya mwisho then nihamie mwezi wa 7 mwishoni lakini pia wazo lingine linasema hamia hivyo hivyo ili kodi nitakayolipa Januari inisaidie kwenye baadhi ya shughuli

Nahisi kuchanganyikiwa ushauri wenu wakuu
 
Kama eneo la kazi, watoto shule na mke kazini hauathiriki, then hama, lakini kama utaanza amisha watoto shule, daladala zitaongezeka etc, unasumbuka nini
 
Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua niliyofikia mawazo yanakuja mengi mengi kuwa nisubiri ili nilipe kodi ya mwisho then nihamie mwezi wa 7 mwishoni lakini pia wazo lingine linasema hamia hivyo hivyo ili kodi nitakayolipa Januari inisaidie kwenye baadhi ya shughuli

Nahisi kuchanganyikiwa ushauri wenu wakuu
Watu wanahamia bila hata kuweka bati wewe unazungumzia grill sijui
 
Kuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
images.jpeg
 
Kuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
Ni yule aliekuwa Mwanajeshi akafunga neti kwenye mwembe?
Kila mtu alimshangaa kwa kweli.
 
Back
Top Bottom