Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Duh huyo mwamba alifanya maamuzi magumu kweliKuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua niliyofikia mawazo yanakuja mengi mengi kuwa nisubiri ili nilipe kodi ya mwisho then nihamie mwezi wa 7 mwishoni lakini pia wazo lingine linasema hamia hivyo hivyo ili kodi nitakayolipa Januari inisaidie kwenye baadhi ya shughuli
Nahisi kuchanganyikiwa ushauri wenu wakuu
Watu wanahamia bila hata kuweka bati wewe unazungumzia grill sijuiWakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari mwishoni kodi yangu inaisha na ninatakiwa kulipa kodi ya miezi sita kila nikiwaza nihamie kwa hatua niliyofikia mawazo yanakuja mengi mengi kuwa nisubiri ili nilipe kodi ya mwisho then nihamie mwezi wa 7 mwishoni lakini pia wazo lingine linasema hamia hivyo hivyo ili kodi nitakayolipa Januari inisaidie kwenye baadhi ya shughuli
Nahisi kuchanganyikiwa ushauri wenu wakuu
hahaha hii ni uongo bhanaaKuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
Kuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
Ina maana gani hii picha?
Duu! Kama ni kweli, basi Huyu mwamba atakuwa alitia fora hasa kwa kuchukua uamuzi mgumu.Kuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.
Kwamba huyo jamaa aliyedai kuna mwamba alihamia kwenye chumba chake kimoja bila kuezeka.. ametufunga kamba...... katunywesha chai kavu..Ina maana gani hii picha?
Kilimo cha chaiIna maana gani hii picha?
Ni yule aliekuwa Mwanajeshi akafunga neti kwenye mwembe?Kuna mwamba alikuwa na chumba kimoja.hajapaua bati kahamia hvyo hvyo.jua Lake mvua yake.fresh tu yupo kwake.