USHAURI: Kuhusu kukata rufaa HESLB

nashukuru sana mkuu kwa ushauri wako wenye kujenga mungu akubariki
 
pamoja sana mkuu
 
Kwamba tuliokosa batch ya kwanza tutapata viwango chini ya hao Waliopata batch 1
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie kujua kitu kimoja, hivi kama mimi nimepata mkopo labda asilimia 27 tu,je ninaweza kuongezewa ukafika ata asilimia 100? au ndio imepita hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…