Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

mbona tra wamekubamiza sana wakati,gari haina dumping fee,maaana ni less than 10 years,kwa mujibu wa calculator yao mpya?

Hapo ndipo wanaponichanganya, najiuliza au wanakadiria tu na hawafati maagizo ya calculator yao inavyosema, maana gari ya 2005 ni less than 10 years! Kwa hiyo kodi yake inatakiwa iwe pungufu kidogo
 

Shukrani sana kaka, sasa nimepata mwanga, na nimejua badget inayohitakija.
 

Shukrani kaka, nazidi kupata mwanga, ngoja niangalie pia kwenye hiyo site pia.
 
Hapo ndipo wanaponichanganya, najiuliza au wanakadiria tu na hawafati maagizo ya calculator yao inavyosema, maana gari ya 2005 ni less than 10 years! Kwa hiyo kodi yake inatakiwa iwe pungufu kidogo

Very simple ndugu zangu TRA wakikubamiza zaidi ya hiyo Calculator unakata rufaa tu..it is very simple lakini pamoja na kuwepo kwa Calculator yao. PLEASE note: ile system yao ya zamani haikutupwa, bali unapotaka kutoa gari bandarini unasubmit docs ambazo zinaonyesha CIF price na kama wakiona ipo juu ya ile ambayo wao wanaitumia basi wanaachana na yao na kutumia ya kwako..to miximize revenue.
 

Asante sana, naku PM
 

Incase hio gari ukiona itakugharimu sana na kusubiria miezi miwili mpaka iingie, karibu kununua haka ka Will Cypha kengine kwa 6mil tu. Japo sio rangi unayotaka
0716398757
 

Attachments

  • 1388914112262.jpg
    28.9 KB · Views: 280
  • 1388914143066.jpg
    52.8 KB · Views: 296
  • 1388914178005.jpg
    43.3 KB · Views: 275
  • 1388914202446.jpg
    20 KB · Views: 248


Kodi inabeba registration ya gari na road licence,so punguza gharama zako,hyo 3.5 itakuwa umemalizana na tra
 
Incase hio gari ukiona itakugharimu sana na kusubiria miezi miwili mpaka iingie, karibu kununua haka ka Will Cypha kengine kwa 6mil tu. Japo sio rangi unayotaka
0716398757

BZR sio mbaya sana, ina km ngapi?
 
Ilhali Asprin amekuita kwa mbwembwe zote???

ulishawahi kufanya jambo halafu mtu akaja kulielezea tofauti na unavyolifanya? this is how it felt kwangu.

i just realised upotoshaji ni mwingi sana out there....
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa, kwa hiyo kampuni ya kuingiza magari, wanayo ofisi yao Dar, karibu na Ocean Road hospital, ukiwatumia wao wenyewe kama forwarder itasaidia pia. Tatizo moja ni kwamba ki ofisi chao bado hakiruhusiwi na makao makuu Japan kupokea hela ya malipo ya gari, wanapokea hayo ma fee mengine yanayobaki Tanzania tu. Lakini watakupa data zote za nini unatakiwa kufanya na utaratibu wote wa kutuma hela.

Ushauri wangu mmoja tu, hiyo hela ya kukombolea gari ambayo wadau wanahangaika hapa kukukokotolea hakikisha unaiandaa kabla gari haijafika ili usiwape TPA sababu za kukukula hela za kukaa na gari bandarini, they are ruthless kwenye hilo. Kuna wakati hela unayo na bado gari wanazuia, usiwaongezee sababu kabisa.
 
Kodi inabeba registration ya gari na road licence,so punguza gharama zako,hyo 3.5 itakuwa umemalizana na tra

Haina noma mkuu,bora kagharama kapungue kiduchu,manake ni majanga sana kaka mkuu,mi nilijua ukifika kitaa wanakuchanja tena hayo ma-item mawili niliyoyaainisha
 

Kati ya waliokujibu hakuna hata aliyekushauri kuhusu be forward wote wamekushauri kuhusu tra Tu, mpeni ushauri pia kuhusu be forward
 
Kuagiza au kununua kwenye yard hapa Bongo ipi inakuwa nafuu? Je hao Be Forward wa mwenzetu wanaaminika?
 
Usipokua umejiandaa vizur gar yako inapigwa mnada aise!!! Bongo Balaa!
 
biashara ya magariya kuagiza kama unauzoefu mtafute anaejua aupe details na ikiwezekana akuagizie/ vinginevyo utapigwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…