Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

Ingia website ya TRA nenda kwenye kipengele cha calculator motor vehicles. wametoa calculator unayoweza ingiza details za gar na ikakupa kodi halis utakayolipi except shipping line na port charge ambazo hazizid laki nne
 
Shipping line na port charges zinalipwa kwa nani?
 
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa🙁($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu
nmekupata sana mkuu
 
Back
Top Bottom