malimingiii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 967
- 1,335
Shipping line na port charges zinalipwa kwa nani?Ingia website ya TRA nenda kwenye kipengele cha calculator motor vehicles. wametoa calculator unayoweza ingiza details za gar na ikakupa kodi halis utakayolipi except shipping line na port charge ambazo hazizid laki nne
Zinalipwa na aliyeagiza gariShipping line na port charges zinalipwa kwa nani?
nmekupata sana mkuuMkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa🙁($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu
Nani anazipokea TRA au shipping agent?Zinalipwa na aliyeagiza gari
Kwa nini mkuu unasema ni balaa???Kuagiza gari awamu hii ni balaa