African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Yes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi hasa kwenye mambo ya ufundi kama haya, wanahitajika watu wenye kuweza kufanya kazi kwa vitendo. Ila swala linakuja kwenye kutafuta ajira.Ujuzi ni muhimu kuliko Shahada.
Kuna wenye shahada hawana ujuzi, maana wanafundishwa mambo mengi, mengine hayana msingi. Mfano mimi nataka nijikite kwenye ulinzi wa mifumo ya kibenki mitandaoni au ulinzi wa mtandao, kwa kujifunza mwenyewe
Nilimaanisha nirudi kwa ajili ya degree ila sikumaanisha kwamba nianze moja kwa moja Degree. Ila asante kwa suggestion yako nitajaribu kuifatilia hiyo St. Joseph ya Kibamba.Sasa wewe umeishia form 4 halafu unataka kwenda Bachelor moja kwa moja hiyo Bachelor ya wapi, km DIT ilikukataa jwa kufeli Chemistry hapo huna nafasi tena kajaribu St. Joseph kule kibamba kwa Wahindi na sio degree ni Diploma
Oy Mwamba Naomba Nipe Details Jinsi Ulivyokuwa Unakula Msuli Maana Ata Mimi Napenda Masomo Ya Technology ila Marks Ndo Zinanihinder Badala Yake Nataka Kusoma Law...Naomba Unisaidie Sehemu Ulijifunzia wewe Ukiwa Mwenyewe Hasa Hayo Mambo Ya Python.Habari Zenu Wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22. Nilimaliza kidato cha nne mnamomwaka 2018. Mwaka 2019 nikajaribu kuapply course ya Computer Science DIT pale baada ya kupiga short web development course kwenye college fulani hivi (Kwa kipindi kile sikuwa na ufahamu kuhusu course za computer na sikuwa na mtu wa kunionesha njia kwahiyo sina uhakika kama nilitaka kuapply Computer Science au IT,etc ila nilikuwa tu interested na masomo ya technolojia).
Kwa bahati mbaya nilikataliwa kujiunga na course hiyo sababu nilifeli somo la Chemisry kidato cha nne. Kwakweli hio sababu haikuniingia akilini ila nikasema sawa. Kipindi hiko pia nilikuwa niko interested na masuala ya Production. Niliweza kujifunza video production, graphics design pamoja na 3D animation kwa kutumia internet. Niliendeleza hii process mpaka mwaka jana 2021 baada ya kuwa na experince ya kutosheleza na kuwa comfortable kwenye production pipeline.
Niliona ndio muda sahihi wa kuanza kujifunza Computer Science mtandaoni. Nikafatilia kazi mbali mbali za computer science na njia zake za masomo. Nikachagua language yangu ya kwanza ambayo ni python. Nikakomaa nayo mwaka mzima nikafanya na baadhi ya projects ndogo ndogo. Baada ya kuwa comfortable na python nikaingia kwenye web development. Haikunichukua muda nikapiga HTML, CSS na Javascript pia nikawa comfortable nazo nikafanya na baadhi ya front-end projects. Muda huu ninavyo andika huu uzi niko zangu napiga back end development ili niwe Full stack web developer na nina malengo ya kuongeza ujuzi zaidi.
Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili yaDegree au niendelee kuchapa vitu mtandaoni. Na kama ni kurudi chuo. Je itanibidi nianzie wapi ili niweze kupata angalau barchelor's degree. Asanteni
Kwanza ungefanya research ya fields mbali mbali za computer science. Then chagua language yako ya kwanza upige mpaka uwe comfortable nayo. Mimi nilichagua Python kutokana na syntax yake ni beginner friendly ila ukimaster language moja ni rahisi kusoma language nyingine kutokana na concepts ni zile zile.Oy Mwamba Naomba Nipe Details Jinsi Ulivyokuwa Unakula Msuli Maana Ata Mimi Napenda Masomo Ya Technology ila Marks Ndo Zinanihinder Badala Yake Nataka Kusoma Law...Naomba Unisaidie Sehemu Ulijifunzia wewe Ukiwa Mwenyewe Hasa Hayo Mambo Ya Python.
Natanguliza Shukrani.
Shukrani Mkuu Nitafuatilia.Kwanza ungefanya research ya fields mbali mbali za computer science. Then chagua language yako ya kwanza upige mpaka uwe comfortable nayo. Mimi nilichagua Python kutokana na syntax yake ni beginner friendly ila ukimaster language moja ni rahisi kusoma language nyingine kutokana na concepts ni zile zile.
Nilitumia websites kama w3schools.com, Channel chache za YouTube ambazo niliweza kumuelewa mwalimu, Google is your best friend na Course moja ya Udemy(course ya python). HTML, CSS na Javascript nimepiga youtube na w3schools. Muhimu ni kuwa consistent tu na kuwa na uvumilivu.
Kwa dunia yetu bado tunathamini vyeti hivyo hata kama una ujuzi bila cheti inaweza kuwa ngumu kupata ajira au kazi (consultancies). Uamuzi wako ni sawa kabisa.Habari Zenu Wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22. Nilimaliza kidato cha nne mnamomwaka 2018. Mwaka 2019 nikajaribu kuapply course ya Computer Science DIT pale baada ya kupiga short web development course kwenye college fulani hivi (Kwa kipindi kile sikuwa na ufahamu kuhusu course za computer na sikuwa na mtu wa kunionesha njia kwahiyo sina uhakika kama nilitaka kuapply Computer Science au IT,etc ila nilikuwa tu interested na masomo ya technolojia).