Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili Degree(Computer Science Degree)

Ujuzi ni muhimu kuliko Shahada.

Kuna wenye shahada hawana ujuzi, maana wanafundishwa mambo mengi, mengine hayana msingi.
Mf mimi nataka nijikite kwenye ulinzi wa mifumo ya kibenki mitandaoni au ulinzi wa mtandao, kwa kujifunza mwenyewe
 
Ujuzi ni muhimu kuliko Shahada.

Kuna wenye shahada hawana ujuzi, maana wanafundishwa mambo mengi, mengine hayana msingi. Mfano mimi nataka nijikite kwenye ulinzi wa mifumo ya kibenki mitandaoni au ulinzi wa mtandao, kwa kujifunza mwenyewe
Uko sahihi hasa kwenye mambo ya ufundi kama haya, wanahitajika watu wenye kuweza kufanya kazi kwa vitendo. Ila swala linakuja kwenye kutafuta ajira.

Simaanishi kwamba sitakiwi kufocus kwenye kujiajiri na kuutumia ujuzi nilionao ila kama unavyojua hali halisi ya vijana wengi wa kitanzania hatuna watu wa kutusukuma tunapokwama kifedha.
 
Sasa wewe umeishia form 4 halafu unataka kwenda Bachelor moja kwa moja hiyo Bachelor ya wapi, km DIT ilikukataa jwa kufeli Chemistry hapo huna nafasi tena kajaribu St. Joseph kule kibamba kwa Wahindi na sio degree ni Diploma
 
Sasa wewe umeishia form 4 halafu unataka kwenda Bachelor moja kwa moja hiyo Bachelor ya wapi, km DIT ilikukataa jwa kufeli Chemistry hapo huna nafasi tena kajaribu St. Joseph kule kibamba kwa Wahindi na sio degree ni Diploma
Nilimaanisha nirudi kwa ajili ya degree ila sikumaanisha kwamba nianze moja kwa moja Degree. Ila asante kwa suggestion yako nitajaribu kuifatilia hiyo St. Joseph ya Kibamba.
 
Mwana comment ya Kwanza hapo juu ishikilie hy.
but jua juhudi zako binafsi zitakufanya uwe Bora vinginevyo utaenda na kurudi Engineer Kitini
 
Oy Mwamba Naomba Nipe Details Jinsi Ulivyokuwa Unakula Msuli Maana Ata Mimi Napenda Masomo Ya Technology ila Marks Ndo Zinanihinder Badala Yake Nataka Kusoma Law...Naomba Unisaidie Sehemu Ulijifunzia wewe Ukiwa Mwenyewe Hasa Hayo Mambo Ya Python.

Natanguliza Shukrani.
 
Kwanza ungefanya research ya fields mbali mbali za computer science. Then chagua language yako ya kwanza upige mpaka uwe comfortable nayo. Mimi nilichagua Python kutokana na syntax yake ni beginner friendly ila ukimaster language moja ni rahisi kusoma language nyingine kutokana na concepts ni zile zile.

Nilitumia websites kama w3schools.com, Channel chache za YouTube ambazo niliweza kumuelewa mwalimu, Google is your best friend na Course moja ya Udemy(course ya python). HTML, CSS na Javascript nimepiga youtube na w3schools. Muhimu ni kuwa consistent tu na kuwa na uvumilivu.
 
Shukrani Mkuu Nitafuatilia.
 
Kwa dunia yetu bado tunathamini vyeti hivyo hata kama una ujuzi bila cheti inaweza kuwa ngumu kupata ajira au kazi (consultancies). Uamuzi wako ni sawa kabisa.
Ingia nacte upate nacte admission guide ya mwaka huu. Utaona vyuo vinavyotoa certificate/diploma ya it au cs. Omba kile unacho pendelea kulingana na mazingira yako. Kuna guides za aina mbili: vyuo vya nacte na vyuo vikuu vinavyotoa hizo qualifications.
All the best.
 
Komaa upate knowledge hata online kwanza..
Kama huna fees za kusoma miaka 4 computer science, (zingatia pesa na muda hapa)

Jambo la kukushauri jtahidi uwe na "certification" kwa vitu utakavyokifunza mwenyewe huko online!

Mfano kama utasoma cloud computing basi iwe na amazon web service certificate (aws)

Kama linux _uwe na certoficate kutoka linux , kama microsoft ...same!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…