Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
 
Kama umemaliza form four na una D nne we nenda kaanze kusoma certificate then diploma badae ndo uende degree afu chuo sio DIT tu Kuna vyuo vingi Dar wanataka D nne tu so Toka 2018 ungeapply kwingine now mwaka huu ungeenda kusoma degree changamka mzee rudi kasome
 
RUDI DARASANI DOGO, ELIMU YA DARASANI MUHIMU ITAKUSAIDIA BAADAE
 
Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
Asanteni wakuu. Nitafanyia kazi mashauri yenu
 
Mkuu ushauri wangu USIENDE CHUO .....hiyo hela ya kulipia bando tengeneza YOUTUBE channel utakayokua unaelezea hizo vitu unazojua na jinsi zinaweza kusaidia baadhi ya makampuni hiyo itakuwa njia nzuri ya kuonyesha unajua kipi na kipi sababu huna vyeti....otherwise apply online cousers za kilipiwan zenye mitihani na kutoa vyeti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…