Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia huku niliko?
Hata Kama kiwanja kiko mkoa jirani?Ushauri wenu wadau maana Mimi ni mjinga kwenye sheria!Pia nimeuliza kwa sababu wengi huwa ninaona wanaenda kusainisha hati kwa mawakili badala ya mahakamani