Noted.Baada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk. Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli zao kama ofisi , wawapatie na ekari kadhaa za ardhi nje ya mji kwa ajili ya kujenga uwanja wa mpira, ule uwanja ugeuzwe kituo cha kibiashara kiunganishwe na machinga complex, machinga wa kariakoo wahamie Karume uwanjani
Ndio wapiga kura!Machinga wanavyobembelezwa kama mtoto wa mwalimu wa darasa 😄
Hata mimi nilifikiria hivi, TFF wahamishwe paleBaada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk. Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli zao kama ofisi , wawapatie na ekari kadhaa za ardhi nje ya mji kwa ajili ya kujenga uwanja wa mpira, ule uwanja ugeuzwe kituo cha kibiashara kiunganishwe na machinga complex, machinga wa kariakoo wahamie Karume uwanjani
Yes wahamie Dodoma au wahamie kigamboni au Tanga wanapojenga kituo cha michezoAu tff na wenyewe wahamie dodoma
Utaijua muda si mrefu!Ubungo haina mvuto kama kariakoo
Una uhakika?Machinga wameandaliwa eneo la kisasa na Wachina pale Ubungo.
Kutakuwa na vizimba 10,000
Ndio.Una uhakika?
Sahihi kabisa Kiongozi. Ubungo ambayo haina eneo la bahari ingetumia kuwepo kwake kama entry point ya Dar (lango la Jiji) kama fursa adhimu! Tatizo watendaji pale wamelala hakuna ubunifu. Wafanyabiashara wote kutoka mikoani na nchi jirani wangeanzia Ubungo and possibly kukamilisha mahitaji yao hapo hapo Ubungo.Ndio.
Ubungo itakuwa China ndogo.
Kariakoo itabaki kuwa historia.