Hivi kwanini maamuzi yanafanywa haraka haraka hivi?Machinga wameandaliwa eneo la kisasa na Wachina pale Ubungo.
Kutakuwa na vizimba 10,000
Unaiambia serikali au mwenye mali TFF?kwanza hata hilo eneo la machinga lilikuwa la TFF walifanya kulipora tu.Noted.
Hoja imeungwa mkono.
Your a great thinker aiseeBaada ya serikali kuhamia Dodoma kuna majengo mengi sana kule posta hayana kazi mfano wizara ya afya , wizara ya ardhi, wizara ya fedha nk.
Serikali iwapatie TFF jengo mojawapo wafanye shughuli zao kama ofisi , wawapatie na ekari kadhaa za ardhi nje ya mji kwa ajili ya kujenga uwanja wa mpira, ule uwanja ugeuzwe kituo cha kibiashara kiunganishwe na machinga complex, machinga wa kariakoo wahamie Karume uwanjani
Ukiwa na huhakika wakula na kunya ukumbuke pia kuna watanzania wenzako hawana huakika ata wa mlo mmoja.Machinga wanavyobembelezwa kama mtoto wa mwalimu wa darasa [emoji1]
Samahani, huyo lobbyist ni nani!? Point yako ina maana kubwa sana. Maana uzslishaji ndio utatukomboa na sio uchuuzi wa makorokoro ya wachina.Wamikoani nao wanaamishiwa Ubungo kwa wachina?
Hili haliwezi kuwa suluhisho la tatizo hili. Tunatakiwa kubadili vijana wetu kutoka kuwa wachuuzi wa bidhaa tena nyingi zikiwa fake (maana nyingine ukiziangalia kwa jicho la ukali zinavunjika!!!) kutoka nje ya nchi kuwa vijana wazalishaji mali na wauzaji wa mali hizo hapa nchini na nje ya nchi tena kwa faida. Hili ndilo suluhuisho la tatizo hili.
Hao wachumi na wataalamu wa fani mbalimbali waandae strategies za kuwezesha vijana kuzalisha mali na kuziuza nchini na ng'ambo. Uwezekano huo upo kwa sababu Mama 'kafungua' nchi, Mama 'katangaza' nchi, na Mama kapata 'msafisha taswira' ya nchi tena lobbyist nguli wa dunia.
Kwa hiyo hakuna kisingizio cha kushindwa kufanikiwa kuwasaidia vijana.
Labda anajisahaulisha huyo.Kura za uchaguzi upi? Serikali za mitaa au uchaguzi mkuu 2020? Kilichotokea ni matokeo ya upigaji kura?
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, ndugu Tony.huyo lobbyist ni nani!?
Inaumiza kweli nikiyaona yale majengo.Uko sahihi pale hapastahili kuwa ofisi za RC,posta majengo ya seeikali yamejaa popo
Watoto wa magufuli hao aliowaachia wavunje sheria wazi wazi sasa samia ana kazi ya kusimamia Sheria bila ya kupepesa ama sivyo watamchafulia mipango yake ya kusafisha majiji.Machinga wanavyobembelezwa kama mtoto wa mwalimu wa darasa 😄