Wadau, nataka kuagiza gari nimeingia kwenye mtandao nimeipenda Corola Spacio, sasa nimepata gari 2 ambazo kwa muonekano wa nje ni kama zinafanana, bei na mileage pia hazitofautiani sana. Tofauti ipo kwenye CC moja ina CC1800 4WD ya 2003 na nyingine ni 2WD ina CC1500 ya 2004 nataka kujua Advantages na
disadvantages za Kuwa na gari yenye Cc kubwa Vs Cc ndogo interms of fuel consuption na mambo mengineyo. Karibuni wataalam
hiyo 4wd inakula Mafuta zaidi kwani nyingi zake huwa ni fulltime 4wd.CC 1800 inakula mafuta ukilinganisha na CC 1500
4WD ina nguvu ukilinganisha na 2WD,utakapo tembea kwenye barabara zenye matope na milimani
Wengine watachangia na kunisahihisha kama sipo sawa.
Inategemea na mazingira unayotaka kutumia. Kama ni town barabara nzuri nunua cc1500 2WD, lakini kama unatumia kwenye barabara korofi go for 4WD
hiyo 4wd inakula Mafuta zaidi kwani nyingi zake huwa ni fulltime 4wd.