Malunkwi
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 338
- 80
Wadau, nataka kuagiza gari nimeingia kwenye mtandao nimeipenda Corola Spacio, sasa nimepata gari 2 ambazo kwa muonekano wa nje ni kama zinafanana, bei na mileage pia hazitofautiani sana. Tofauti ipo kwenye CC moja ina CC1800 4WD ya 2003 na nyingine ni 2WD ina CC1500 ya 2004 nataka kujua Advantages na
disadvantages za Kuwa na gari yenye Cc kubwa Vs Cc ndogo interms of fuel consuption na mambo mengineyo. Karibuni wataalam
disadvantages za Kuwa na gari yenye Cc kubwa Vs Cc ndogo interms of fuel consuption na mambo mengineyo. Karibuni wataalam