Ushauri kuhusu mashine za kusaga na kukoboa

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Naomba ushauri,nimetoka sido Arusha muda huu, wamenishauri mashine vinu no. 50 zenye mota hp 20 kwa 15 kwa kuwa ndo naanza pia havili umeme.Naomba ushauri kwa wenye uzoefu na mashine maana wao ni wafanya biashara ya mkini wasiwe wa kweli
 
naomba ushauri,nimetoka sido arusha muda huu, wamenishauri mashine vinu no. 50 zenye mota hp 20 kwa 15 kwa kuwa ndo naanza pia havili umeme.naomba ushauri kwa wenye uzoefu na mashine maana wao ni wafanya biashara ya mkini wasiwe wa kweli
vinu bora vipo sidoo tu
 
ziko poah kwa kuanzia, bei gani wanataka
 
Nenda sido ukachongeshe kulingana na ukubwa wa motor, motor nzuri ni hp 30 kwa ajili ya kusaga na motor hp 12 au 20 kwa ajili ya kukoboa,
 
Sido Moshi wanatengeneza complete set kwa 3m.
Kusaga size 75
Kukoboa roller tatu.
Ngoja nikupe namba ya eng wa moshi
 
Anaitwa Dendya. Eng ndo Regional Manger +255763852980.

Nilichokipenda wao wanakupa bank acc ya taasisi (sido) ndo u deposit na inachukua mwezi mmoja so unakuwa na uhakika, tofaut na ku deal na mtu binafsi
 
Sido Moshi wanatengeneza complete set kwa 3m.
Kusaga size 75
Kukoboa roller tatu.
Ngoja nikupe namba ya eng wa moshi

Niliuliza sido moshi nikaambiwa no. 50 ni mil 6 mashine zote
 
Asanteni kwa ushauri wadau
 
Naomba ushauri,nimetoka sido Arusha muda huu, wamenishauri mashine vinu no. 50 zenye mota hp 20 kwa 15 kwa kuwa ndo naanza pia havili umeme.Naomba ushauri kwa wenye uzoefu na mashine maana wao ni wafanya biashara ya mkini wasiwe wa kweli
Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?
Kuwa specific tukusaidie,nina miaka 18 katika biashara hii.
 
Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?
Kuwa specific tukusaidie,nina miaka 18 katika biashara hii.

Mignon. Zaidi ya sido wapi wanatengeneza vinu imara na bei nafuu?
 
Anaitwa Dendya. Eng ndo Regional Manger +255763852980.

Nilichokipenda wao wanakupa bank acc ya taasisi (sido) ndo u deposit na inachukua mwezi mmoja so unakuwa na uhakika, tofaut na ku deal na mtu binafsi
ahsante kwa kumsaidia...lkn hiyo namba mwenyewe anajua iko hapa na kila mtu anaiona!kwa nn usinge pm kwa anayeitaka!
 
Mignon. Zaidi ya sido wapi wanatengeneza vinu imara na bei nafuu?
Usinunue Mchina,SIDO is the best kwa sasa ingawa kuna individual workshop ambao nao ni wazuri.
 
Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?
Kuwa specific tukusaidie,nina miaka 18 katika biashara hii.

Mkuu nashukuru naomba nisaidie ktk maeneo yote nyeti maana sina uzoefu kabisa
 
Jamani mwageni taarifa kuhusu hii biashara tufaidike. Mbarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…