Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vinu bora vipo sidoo tunaomba ushauri,nimetoka sido arusha muda huu, wamenishauri mashine vinu no. 50 zenye mota hp 20 kwa 15 kwa kuwa ndo naanza pia havili umeme.naomba ushauri kwa wenye uzoefu na mashine maana wao ni wafanya biashara ya mkini wasiwe wa kweli
Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?Naomba ushauri,nimetoka sido Arusha muda huu, wamenishauri mashine vinu no. 50 zenye mota hp 20 kwa 15 kwa kuwa ndo naanza pia havili umeme.Naomba ushauri kwa wenye uzoefu na mashine maana wao ni wafanya biashara ya mkini wasiwe wa kweli
Wanauza mil 4.5 vinu vyote viwili na starter zake
Unataka ushauri kuhusu vinu na motor au biashara yenyewe ya kusaga nafaka?
Kuwa specific tukusaidie,nina miaka 18 katika biashara hii.
ahsante kwa kumsaidia...lkn hiyo namba mwenyewe anajua iko hapa na kila mtu anaiona!kwa nn usinge pm kwa anayeitaka!Anaitwa Dendya. Eng ndo Regional Manger +255763852980.
Nilichokipenda wao wanakupa bank acc ya taasisi (sido) ndo u deposit na inachukua mwezi mmoja so unakuwa na uhakika, tofaut na ku deal na mtu binafsi
Usinunue Mchina,SIDO is the best kwa sasa ingawa kuna individual workshop ambao nao ni wazuri.Mignon. Zaidi ya sido wapi wanatengeneza vinu imara na bei nafuu?