Ushauri kuhusu maumivu kipindi na baada ya hedhi

Ushauri kuhusu maumivu kipindi na baada ya hedhi

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Posts
218
Reaction score
194
Akikaribia siku zake tumbo linamuuma kwa chini upande wa kushoto na akimaliza hedhi bado linaendelea mpaka wiki inafika.

Je, nini itakuwa tatizo wataalam?
 
mwambie ajaribu kuingiza majivu kwenye k yake kila aingiapo kwny ck zake
 
Huyo atakuwa na infection ktk mkojo mwambie akapige utra sound huyo anaekwambia aingize majivu hawa ndio wale wanajiita makapuku akili zao ni kama wanavyojiita
Akikaribia ssiku zake tumbo linamuuma kwa chini upande Wa kushoto na akimaliza hedhi bado linaendelea mpaka wiki inafika
 
Back
Top Bottom