Kizinga mpemba
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 218
- 194
Sio wanaofanya hivi ndio wanashombo ukeni? Kuna wanawake khaaaa! Puuuuuuumwambie ajaribu kuingiza majivu kwenye k yake kila aingiapo kwny ck zake
Mirija ya falopian ni mwembamba mwambie Azae tuAkikaribia ssiku zake tumbo linamuuma kwa chini upande Wa kushoto na akimaliza hedhi bado linaendelea mpaka wiki inafika
Akikaribia ssiku zake tumbo linamuuma kwa chini upande Wa kushoto na akimaliza hedhi bado linaendelea mpaka wiki inafika
Kweme ndio nn Mkuu??Huyo ana chango la uzazi
Dawa yake uji wa mihogo uliochanganywa na kweme Wasambaa mpo?