Ushauri kuhusu mbwa anayefaa kwa ulinzi

Ushauri kuhusu mbwa anayefaa kwa ulinzi

mpolekabisa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2023
Posts
161
Reaction score
225
Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi.

Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!!

Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila kila mmoja ana kadi yake ya klinic inayoonesha breed yake.

Kwa mujibu wa muuzaji anadai cross ya GS na BM ni bora zaidi na bei yake iko juu!!

GS na BM anawauza bei sawa!! Naomba ushauri kwa anayewajua zaidi. Lengo langu ni ulinzi wa nyumbani.
 
Chukua huyo mwenye rangi nyeusi, anae oneoana kama amekatwa mkia chief..😊
 
Back
Top Bottom