Ushauri kuhusu Mercedes Benz Salon car yenye CC 1790

Ushauri kuhusu Mercedes Benz Salon car yenye CC 1790

Na ndio gari ya shamba.........coz ni pick up.........

kwani ni nini bana............

dah bana mkuu mama Ana Tb wa karagwe... Naskia gia yake milioni 7... Poa tu dunia si haina usawa bana.. Nenda nayo tu kwa 'wapigwa kula' wako usiende peku sasa..
 
Halafu wewe......mbona hukuja tena....nikajaza hiyo gari mafuta bure hukutokea.........🙁

bado nipo kwenye mchakato, kuja huko lazima mambo yaliingiliana si unajua mwezi ulioisha ni wa shamrashamra.
 
Back
Top Bottom