Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,296
- 6,492
Wadau heshima kwenu,
Hope humu kuna watu wengi walishafanya hii biashara na kujua changamoto zake, nimeoa wilaya moja mkoani kwetu huko kuna fursa ya kufungua ka-kiwanda kidogo cha kutengeneza unga wa mahindi na kuuza katika maduka kwa bei ya jumla, naombeni mnisaidie haya maswali please..
1.Kuhusu mashine nzuri yenye ufanisi, mimi nilitembelea sehemu kama china na kuona kuna vimitambo vidogo vya bei ya madafu vyenye kuweza kuzalisha tani 5-50kwa saa 24. ila zina sifa tofauti zipo zinazotumia umeme 60kwh kwa kila tani na kuendelea, je hizi zina faa kwa kuanzia? maana nilisia sido na wanazalisha ila sijui sifa zake maana baadhi hizi za china zinasafisha mahindi, kukoboa, kusaga na kufunga kabisa kwenye viroba tayari kwa kuuza...ipi mashine nzuri kwa kuanzia na umeme utumike kiasi gani kwa uzalishaji wa tani ngapi kwa siku?
2.Tratibu za kufuata kwa maana ya vibali husika, je nahitaji nijisajili kama kampuni ndogo au naweza pewa kibali bila kujisajili? lengo langu ni kufungua wilayani mijini, je ni lazima iwe sehemu tengwa kwa ajili ya viwanda au maana mimi cha kwangu kitakuwa kidgo tu
3.Nini changamoto kwenye hii sekta, kuanzia uzalishaji mauzo, faida na hasara?
4.kitu chochote cha ziada??
Asante na ushauri wenu ni muhimu sana wadau.