Ushauri kuhusu mke wangu kutokubadilika

Acha ufala, wife material huyo ndoto ya wanaume wengi.. unataka aanze kuvaa vimini na nguo za kuchoresha maungo aanze kupigiwa miluzi mtaani. Nikupe siri sasa, ukimuona tu kabadilika ujue ameanza kuchepuka
 
Akibadilika usijelia kuomba ushauri. Vijana wa boda boda watakapoanza kujisevia
 
Huko kubadilika unakotaka wewe mara nyungi huenda na ukengeufu kitu ambacho ni hatari sana atalijua jiji na madhara yake najua hutaweza kuja kutushirikisha hapa jukwaani.Shukuru Mungu abakie hivyo hivyo alivyo.
 
Ngoja aanze kupendeza uanze kulialia humu umepigiwa
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…