Ushauri kuhusu Network marketing

Joined
Mar 12, 2021
Posts
95
Reaction score
109
Habari wakuu

Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini huko nitaenda kutapeliwa.

Ninaombq wana JF wale ambao mna ufahamu wa kutosha na huenda mlio kwenye Network Marketing mnisaidie kwa ushauri,mazuri na mabaya ya biashara hii na risk zake.


Naomba kuwasilisha.
 
Inalipa Sana hyo mambo mkuu😋 Anza na Qnet wazee wa good morning hata usku , na ni wadhamini wa Manchester city , soon wananyakua kikombe cha EPL.....usisikilize wabongo , sku zote kwenye mchongo wa hela lazima wakupinge ..... Usinisahau mkuu kwneye huo ubilionare ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…