Usipanic buana nakutania
Member
- Mar 12, 2021
- 95
- 109
Habari wakuu
Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini huko nitaenda kutapeliwa.
Ninaombq wana JF wale ambao mna ufahamu wa kutosha na huenda mlio kwenye Network Marketing mnisaidie kwa ushauri,mazuri na mabaya ya biashara hii na risk zake.
Naomba kuwasilisha.