Official Ric
Member
- Jun 20, 2024
- 56
- 96
Habari wanajukwaa
Naomba ushauri wenu hapa
Kuna mdogo wangu ananiomba ushairi kati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
Yeye alisema anapenda Architecture ila ss wazazi wake wanampinga wanatak akasome ualimu n mm nachoon syo sawq je vp kuhusu hilo soko la Architecture lipoje .......??Akasome kile moyo wake unapenda.
Yeye ndoto yake ni kuwa nani?
Je anapenda kujua nini kuhusu hizo kozi ulizozitaja?
Ni vigumu kumshauri moja kwa moja asome kozi mojawapo kwa sababu hatujui yeye binafsi ana ndoto za kuwa nani, anapenda nini na kwenye hizo kozi anataka ushauri kuhusu nini hasa kuchagua tu au?
Ni muhimu akasome kile moyo wake unapenda.
Kila la kheri.
Shukrani sanaKama hajui anataka nini, basi ngoja nishauri namna hii.....
Bora akachukue Architecture technology walau anaweza akawa na uwanja mpana wa kuajiriwa ama kujiajiri na pia ataheshimika, kuliko hiyo nyingine ambayo ataishia kupiga pindi na tuitions na heshma hato ipata and he or she will never grow up
Yeye alisema anapenda Architecture ila ss wazazi wake wanampinga wanatak akasome ualimu n mm nachoon syo sawq je vp kuhusu hilo soko la Architecture lipoje .......??
Ila kwangu mm naon ni Architecture ni Bora coz itampa wigo mpana wa kujiajiri na kuushughulisha ubongo wake kutafuta channel nyingi ili apate kazi nyingi ila nilikuwa naomb wajuz wa mambo wanijuze ili nitakapopata nafas ya kuongea naye nimshauri vizuri
Hilo unalosema ni kweli hata mm najaribu kumwambia atafute coz ambayo itamfanya aweze angalau kujiajiriWalimu wa Mathematics hapo wengi sana .Na siku hizi hakuna Tuition tena .
Kwa hiyo asisome ualimu akijua eti Kuna ajira kama zamani .
Ok asanteAsome hiyo architecture tech...
Kwa sasa ualimu wanafunzi na wahitimu ni wengi sana. Itachukua muda ajira kubalance....
Architecture ipo vizurikati ya Architecture technology au ualimu wa mathematics na economics unaweza mshauri huyu dogo asome coz gani kati ya hizi
Sema kuna watu wanasema ni nzuri ila kwa Bongo bado haijakaa sawa sijui unaweza nielewesha kidogoArchitecture ipo vizuri
Ukisoma kozi yoyote inayohusika na ujenzi kujiajiri ni rahisi tuSema kuna watu wanasema ni nzuri ila kwa Bongo bado haijakaa sawa sijui unaweza nielewesha kidogo
Sasa hizo Connection za mambele ndo ChangamotoKasome kiswahi ukatafute kazi mambele
Hapo nimekupata mkuuUkisoma kozi yoyote inayohusika na ujenzi kujiajiri ni rahisi tu
Hizo za lugha si unaweza kujifunza kwa kutumia tu hata application sizani kama inamata sanaaa au mm ndo sielewi....?chinese language
Ndo nausubiri huo muongozo