IDFakenyingine
Senior Member
- Sep 28, 2022
- 176
- 441
- Thread starter
-
- #21
IDFakenyingine nunua gari ukifuata sana ushauri wa humu hutonunua cha msingi fuata ushauri wa yule aliesema anayo huu mwaka wa nne.
Bila kuwachosha, niende kwenye mada.
Nimetokea kuipenda sana hii gari, na ninataka kuinunua.
Lakini kabla 'sijajilipua', ningeomba mawili matatu kuhusiana nayo kutoka kwa wataalam wa magari au watu waliowahi kumiliki Nissan Dualis.
Je, ni kweli ENGINE na GEARBOX za hii gari ni PASUA KICHWA SANA..?!
Vipi uhimilivu wake kwenye ROUGH ROADS..?
Manake ITAPAMBANA na kilometa 25 za rough road kabla ya kugusa lami mara 3 kwa wiki!
Vijiweni maneno ni mengi, nimekuja humu nakiamini kuna WAJUZI na WATAALAM!
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Cc: Extrovert RRONDO Offshore Seamen JituMirabaMinne Boeing 747 chilubi
Gari kama hiyo tena imeanza kuzalishwa 2007, sensors kama zote ni kitu cha kawaida.Shukrani.
Mchango wako ni wa thamani kubwa sana.
Vp na yenyewe ina sensors kama zote..?
Kama inazo, ni zipi hasa zinazoleta misala ya ghafla barabarani ili mtu ujiandae?
Kati ya Subaru yenye TURBO na isiyo na Turbo, ipi ungemshauri mtu ambaye speed siyo priority bali fuel economy ndo priority yake?Hakuna gari hapo,kama una pesa ya kutosha nunua subaru forester hutojutia kabisa
Ni kweli ulichoandika.IDFakenyingine nunua gari ukifuata sana ushauri wa humu hutonunua cha msingi fuata ushauri wa yule aliesema anayo huu mwaka wa nne.
Cha kuongezea zingatia sana vilainishi ambavyo manufacturer amependekeza. Usije sikiliza ule ushauri wa ...hii oil unaweka gari yeyote ni sijui ni malaya so haina shida aisee don't go that way utalia
Kila la kheri kwenye mchakato!! Sema nini watu wananunua mandinga kila leo mazee nchi imefunguliwa hii [emoji23][emoji23]
Tuko pamoja!Mimi sina info sana kuhusu hii gari. Labda wenye experience zao wazishare hapa.
Mkuu hujakutana na wale wa kukwambia Nissan ina sensors za kuzima gari ghafla barabarani ikinyeshewa na mvua..?! [emoji1][emoji1][emoji1]Gari kama hiyo tena imeanza kuzalishwa 2007, sensors kama zote ni kitu cha kawaida.
Kwani sensor zina ubaya gani mkuu. Kukujulisha matatizo yaliyopo kwenye gari yako ndio ubaya?
Halafu engine ya Cc2000 bila hizo sensors ungekuwa mafuta lita 1 unaenda hata 3km hadi 5. Isingenunulika.
Mkuu, navuta hii chuma.Nunua hio gar fasta utaleta ushuhuda baada ya muda, wazushi SI watu wazur
Mbina husem mambo mengine ya ndan zaud kuhusu hii gar?Hii gari ni nzuri na ipo comfortable, na hata kwenye njia mbovu inapita.
Sema kikubwa ni service, usizidishe mda. Na unapofanya service uwepo kumsimamia fundi.
Kwa upande wangu nilipata taarifa za kimakosa mtandaoni kuwa usibadilishe engine oil mpaka rangi ibadilike, hii ilifanya niue engine, na ikabidi kwenda kuweka engine nyingine na ninaifanyia service ndani ya mda na haijasumbua hadi leo. (Engine ikifa sikushauri kufanya overhaul, chukua fundi wako unayemwamini katafute engine nyingine)
Cha msingi weka recomended oils, kwenye engine oil 5w30 ndo nzuri, usije kumsikiliza fundi anakuambia sijui SAE-40 au nyingineyo.
Kingine jiandae kwa gharama ya spare zake, zipo juu kidogo, ila ukiweka unasahau.
Shida yake nyingine ni vitambaa vya kwenye paa na milango kutoka, ili wapo wanaorudishia.
Vitu vingine nilivyowahi kubadilisha tangia nianze kuitumia; (Inaenda miaka miwili sasa)
1. CV Joint na rubber boot
2. Brake pads
3. Sensor ya ABS
4. Bushes
Nenda kwenye page za hawa Samatimemagari. Wanakuwa maelezo ya magari mengi yanayotumika Tanzania. Unachagua mtandao wa kusoma taarifa. Mimi napendelea kuwasoma twitterBila kuwachosha, niende kwenye mada.
Nimetokea kuipenda sana hii gari, na ninataka kuinunua.
Lakini kabla 'sijajilipua', ningeomba mawili matatu kuhusiana nayo kutoka kwa wataalam wa magari au watu waliowahi kumiliki Nissan Dualis.
Je, ni kweli ENGINE na GEARBOX za hii gari ni PASUA KICHWA SANA..?!
Vipi uhimilivu wake kwenye ROUGH ROADS..?
Manake ITAPAMBANA na kilometa 25 za rough road kabla ya kugusa lami mara 3 kwa wiki!
Vijiweni maneno ni mengi, nimekuja humu nakiamini kuna WAJUZI na WATAALAM!
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Cc: Extrovert RRONDO Offshore Seamen JituMirabaMinne Boeing 747 chilubi
Gari gani hio ya Kubadilisha gearbox oil kila km 3,000?Hizo ndo zenyewe sasa hata haugusi miaka kumi Wewe ushazoea zile kila km3000 unabadili huku siyo. Ni km 200,000 plus ndo unabadili
Jibu unalijua mpk hapo mkuu.speed siyo priority bali fuel economy ndo priority yake?
Toa maelezo. Acha maneno ya vijiweni. Fafanua unachokisema uelimishwe.Hakuna gari hapo,kama una pesa ya kutosha nunua subaru forester hutojutia kabisa