Ushauri kuhusu perfume(Ematscents)

Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty
View attachment 3062372
View attachment 3062375

Kama ushawahi kutumia hizi perfume za

Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty
View attachment 3062372
View attachment 3062375

Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa
 
Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa
Mmh sawa, kuna kipindi kama cha wiki moja hv nilikuwa natumia perfume yao moja inaitwa Gentleman(haikuwa yangu), nilikuwa nasifiwa sana, nikawaza maybe hawa jamaa wana kitu ngoja nijaribu perfume zao.

Bado unaendelea kutumia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…