Ushauri kuhusu server ya blog au website

Ushauri kuhusu server ya blog au website

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Nina kablog kangu nilitengeneza kwa blogger sasa nataka sasa nihamie wordpress ili kawe na muonekano mzuri

Huko nasikia kuna mambo ya kununua server

Sasa nilitaka kujua kuhusu ukubwa,aina na speed ya server nisije nikajichanganta
 
Njoo nikufanyie kazi kiongozi, Utanunua host (package kutoka katika makampuni yanayomiliki servers shared kwako inafaa kabisa),domain na kunilipa mimi tu
 
Back
Top Bottom