Ushauri kuhusu Solar ya Nyumba

Ushauri kuhusu Solar ya Nyumba

MalcolmX

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
158
Reaction score
100
waheshimiwa

naomba ushauri

nataka ninunue solar kwa ajili ya nyumba yangu ya vumba 4

matumizi yangu ya awali ni: Friji, pasi, tv, radio, taaa,

sijavuta bado umeme wa Tanesco lakini nataka nianze na hiyo solar

je nahitaji kuwa na bajeti ya kiasi gani?

je mnaweza kunshauri ninunue solar ya aina gani kwa matumizi hayo

je mnaweza kunshauri kampuni zipi zinaweza kunipa huduma bora zaidi

mambo yakiwa supa bas hamna shaka naweza kuongeza solar ya kupasha maji moto ya kuoga (lakini kwa sasa hiyo haipo kwenye mahesabu
 
Ukishaweka frage na pasi hapo mkuu anda kama 3.5mil ila nenda kwa dealer wa solar pale mwenge opposite na lugalo hosp.
 
waheshimiwa

naomba ushauri

nataka ninunue solar kwa ajili ya nyumba yangu ya vumba 4

matumizi yangu ya awali ni: Friji, pasi, tv, radio, taaa,

sijavuta bado umeme wa Tanesco lakini nataka nianze na hiyo solar

je nahitaji kuwa na bajeti ya kiasi gani?

je mnaweza kunshauri ninunue solar ya aina gani kwa matumizi hayo

je mnaweza kunshauri kampuni zipi zinaweza kunipa huduma bora zaidi

mambo yakiwa supa bas hamna shaka naweza kuongeza solar ya kupasha maji moto ya kuoga (lakini kwa sasa hiyo haipo kwenye mahesabu

Uko wapi wewe? Kwa kanda ya ziwa hebu tembelea Zara Solar pale Mwanza utapata solar panel original kabisa! Ukishamaliza kununua nitafute nikuunganishe na fundi mzuri aende akufungie! Kwa Dar nenda pale CRDB Headquarters ground floor kuna jamaa wanajiita Baraka solar specialists, matatizo yako kwishney!! Mwisho nikusahihishe Kiswahili chako huwa hatusemi "kupasha maji moto ya kuoga" bali huwa tunasema "kupasha moto maji ya kuoga"
 
mkuu kwenye solar .. jaribu kuondoa wazo la pasi na friji kwanza coz vitu hivi vinakula umeme sana.

labda wakati unaitafuta uzungumze na mtoa huduma kuhusu uwezekano wa kupata pasi na friji inayotumia solar..

matumizi ya kawaida kama taa, kuchaji simu, tv, radio, laptop n.k utaenjoy.
 
Bajeti kias gan inahitajika?
neggirl
 
Last edited by a moderator:

kama 2.5m.. but inategemea na mahitaji yako. mfano mtambo huo nawasha taa 12, tv (note: ya solar), redio, nachaji simu, laptop(inatumika masaa mengi sana bila shida).

uzuri kampuni nyingi za solar zina utaratibu wa mkopo, unalipa kiasi fulani then ... unawekewa kila kitu. malipo unakamikisha kidogo kidogo kwa kila mwezi ndani ya mwaka au hadi miaka 3.
 
Last edited by a moderator:
Bajeti kias gan inahitajika?
neggirl
wasikutishe mkuu,
chukua watt300 kwa gharama ya laki350 chkua betri kubwa kwa gharama ya laki3, chkua inverter kwa laki moja na chkua charger controller kwa elf90, utakuwa umeshamaliza kuhusu umeme kinachobaki ni nyaya, taa, cable, nk kulingana na mahitaji yako.
 
Mkuu hiyo watt 300 ndo itaweza kuwasha vitu vyote alivyodai anataka atumie? Pasi, fridge pamoja na taa!
 
mimi ninavyojua imveta ndiyo yenye uwezo wakuwasha vitu vyote ulivyo hainisha hapo sababu solar kaziyake kubwa nikuchaji betry na betry kaziyake kuwasha imveta tafuta imveta yenye carrent output kubwa
 
Mkuu hiyo watt 300 ndo itaweza kuwasha vitu vyote alivyodai anataka atumie? Pasi, fridge pamoja na taa!

Nimekuwa na swali hilohilo.

Si kweli kwamba ataweza kuwasha hivyo vitu vyake vyote kwa hiyo 300 Watts. Inverter haiwezi kutoa umeme zaidi ya ule ulioingizwa kwa battery (uliojazwa na solar pannel), pia solar pannel haiwezi/ haziwezi kujaza battery zilizo kubwa kuliko uwezo wake.
Ushauri wa kutumia vitu vya solar kama fridge na tv ni mzuri ILA bei za fridge ya solar ni kichaa, labda kama kuna mtu anajua mahali wanapouza chini ya 1.5m (tena fridhe ndogo).
Kupasha moto maji ni rahisi, tunatumia "solar heat"; Yaani moto wa jua moja kwa moja na hiyo unanunua solar water heater inayofanya hivyo. ziko water heater za namna mbalimbali yakiwemo majiko.

Simple calculations;
Mahitaji ya kawaida ya nyumba ni (Ukitoa pasi na jiko)
1. Tv, Deki na decorder-150 Watts
2. Taa 10 - 50 Watts
Kwa haraka hiyo ni 200 Watts ukiongeza 50% unakuwa safe kwa matumizi ya masaa 8 hivi.
So kwa haraka unapata 300 Watts kama alivyosema mdau mmoja hapo juu ILA huwezi kuwasha (PASI Wala JIKO)-Yaani ukibadili umeme kwenda joto unatumia nishati nyingi sana. Mfano, Jiko Wattage zikiwa chache sana ni 2000Watts (Sahani moja) na Pasi zinaanzia 1000Watts, vifaa hivi pekee vinatupa 3000Watts ambayo ni mara kumi ya mahitaji ya kuwasha taa na tv.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi wako, naamini huyu ndugu atakuwa ametuelewa kuhusu hayo mahitaji yake!

Bei ya freezer za solar ni zaidi kidogo ya 2.0m, kwa hiyo gharama ipo. Pia hapo kwenye taa kwenye taa 1 ya Sundaya ina watt 6 kwa hiyo ukizidisha kwa taa 10 utapata watt 60 za taa peke yake. Hivyo huyo mdau pengine aanashauri kuwasha taa, TV na viambata vyake!! Kwa pasi iko chini sana!!
 
Back
Top Bottom