Habarini wanajanvi.
Naomben msaada kuhusu Subaru impreza Kwa maana ya upatikanaji WA vifaa vyake, utumiaji wa mafuta, stability yake barabarani na Kwa ujumla ubora wake.
Ni gari ambayo nimeiona Tu ikanivutia muonekano wake na nikadhani kabla ya kuinunua nipate ushauri. Asanteni.