Ushauri kuhusu Subaru impreza.

Ushauri kuhusu Subaru impreza.

Gucci 2

Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
31
Reaction score
23
Habarini wanajanvi.

Naomben msaada kuhusu Subaru impreza Kwa maana ya upatikanaji WA vifaa vyake, utumiaji wa mafuta, stability yake barabarani na Kwa ujumla ubora wake.

Ni gari ambayo nimeiona Tu ikanivutia muonekano wake na nikadhani kabla ya kuinunua nipate ushauri. Asanteni.
 
Subaru parts,mafundi kama unawahitaji just inbox me.my self natumia B4 Legacy
 
Back
Top Bottom