Kibundi wa getto JF-Expert Member Joined Sep 28, 2013 Posts 455 Reaction score 877 Jul 21, 2014 #1 Jamani mimi nataka kusoma BAED katika vyuo vya dar es salaam,nataka nijaze udsm na duce...kuna mtu kaniambia kuwa nikikosa nafasi katika vyuo ivyo nitapelekwa Mkwawa, ivi ni kwel? na MUCE sipendi kwenda.
Jamani mimi nataka kusoma BAED katika vyuo vya dar es salaam,nataka nijaze udsm na duce...kuna mtu kaniambia kuwa nikikosa nafasi katika vyuo ivyo nitapelekwa Mkwawa, ivi ni kwel? na MUCE sipendi kwenda.
madudy Senior Member Joined Aug 21, 2013 Posts 100 Reaction score 6 Jul 22, 2014 #2 una cut of point ngap? ka ni ka ni nyinge asikutishe mtu ud utakuja ka chache jiandaege tu broo