Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Jamani mimi nataka kusoma BAED katika vyuo vya dar es salaam,nataka nijaze udsm na duce...kuna mtu kaniambia kuwa nikikosa nafasi katika vyuo ivyo nitapelekwa Mkwawa, ivi ni kwel? na MUCE sipendi kwenda.