Thanks brother, thats true..Ni gari gani umeona imetengenezwa na kupatiwa jinsi!? Gari ya kike au ya kiume ni fikra zako tu, ukitaka kufanya jambo la kuridhisha nafsi yako usijali nani atasema nini! Mbona vijana wote mjini siku hizi wanavaa skin tight za kike na wala hakuna tabu! Wewe nunua ambacho nafsi yako inapendelea, kuhusu nani atasema nini waachie wenyewe. Kimatumbi twalonga: Live your life!
Nshukuru br kwa ushauri wakoKaribu kwenye ulimwengu wa kutembea huku umekaa.
Chukua Cami mdau, naona imekaa kiuchumi na pia iko juu kidogo kwa mwanaume naona ni poa sana.
Kila la kheri
cami enatoka kwa ngapi br?tatizo watu wanashauri tu wanavyojisikia.. cami gani milion 9 inatosha kwa rate ya usd ya sasa na uchakavu wa cami??
BMW siipati vzr, unaweza nipa specification zake?Ongezea 1M na laki 8 uchukue BMW 3 series enjoy the luxury and fast beast
cami enatoka kwa ngapi br?
Dah! nashukuru man, so helpfulandaa 11,gari inayotoka kwa milion 9 ni vitz old model, passo, starlet, nissan march, mazda demio na jamii hizo tu.. na porte labda..
usd 1 kwa sasa ni around 2200 lazima ulijue hilo unavyopiga hesabu... omba kwa wauzaji wakupe cif ya gari unayohitaji kisha angalia na kodi estimation tra website kisha jumlisha milion moja ya other charges.. utapata jibu sahihi
Nime icheki BMW cif yake iko juu na gari yenyewe iko chini hivi, vp inawezana na road zetu za kibongo, maana mm niko mbeya sio Dar, na mishe zangu wkt mwingine natoka offroad.Ongezea 1M na laki 8 uchukue BMW 3 series enjoy the luxury and fast beast
Thax for the link brother, ni msaada sana
nitashukuru kama utanishauri br,tatizo watu wanashauri tu wanavyojisikia.. cami gani milion 9 inatosha kwa rate ya usd ya sasa na uchakavu wa cami??
That's true br..Ni gari gani umeona imetengenezwa na kupatiwa jinsi!? Gari ya kike au ya kiume ni fikra zako tu, ukitaka kufanya jambo la kuridhisha nafsi yako usijali nani atasema nini! Mbona vijana wote mjini siku hizi wanavaa skin tight za kike na wala hakuna tabu! Wewe nunua ambacho nafsi yako inapendelea, kuhusu nani atasema nini waachie wenyewe. Kimatumbi twalonga: Live your life!
Ushauri Mwingine Ni Kama "Ramli Chonganishi"
Mtu Kasema Ana Millions 9 Anataka Gari Kaomba Ushauri Watu Wanamwambia Ongeza Millions Tena!!
Duh!!
Toeni Ushauri Kwa Kiasi Alichotaja Mleta Mada Ili Ajue
Anaweza Kupata Gari Gani. Ongeza Bei Itampa Tabu
Inaweza Kuwa "Miruzi Inampoteza Mbwa"