Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

Toyota cami ni gari nzuri sana gari yeyote ikichoka haiuziki hata ingekuwa hammer ,, cami ni gari nzuri sana halafu kwa vinjia vyetu ipo juu halafu haili mafuta, hiyo cami iliyo choka ipo wapi wakati cami mi version kutoka daihatsu terios ambazo na zenyewe ni nzuri na ngumu sana tu halafu zipo juu so hufikirii matuta,lakini pia tumia ushauri wa watu kujifunza kitu na sio kutumia ushauri huo kufanya maamuzi coz kila mtu ataongelea alicho nacho yeye na kukisifia, mwingine atakuja kukwambia (kobe) vox wagon/combi ipo poa ,kwa vile yeye anayo, mwingine atakwambia tractor nk. Tizama kwanza uhitaji wako kwenye gari ninini then chukua linalo kidhi haja yako.
asante sana kwa ushauri, nimekupata sana, unajua naiota cami kwa sana, kutokana na thread hii nimepata mengi, nawashukuru sana
 
Ila wakuu, kabla hujanunua gari, lazima ujibu maswali kwanza haya:

*Utakua unaitumia sana sana wapi (mjini au masafa marefu?)

*Upo tayari kutumia Tsh ngapi kwa mwezi kwaajili ya mafuta na maintenance? (hapa engine size cc itahusika na spare availability itakua considered)

*Mtakua mnaitumia watu wangapi, I mean family car, wewe tu bachelor etc

*Umeplan kuitumia kwa zaidi ya miaka mingapi? Au you're just car maniac unaenda na fashion? Hapa utashauriwa hizi kina Verosa, Mark X etc

Mi naona hakuna haja ya kusema gari za wanawake au wanaume. Aisee, unanunua so called gari ya kiume, engine 3.0L hafu likawa linatembea mara 3 kwa week,
 
Achana na mambo ya cami,hizo ndio za kike kama ulivosema mwenyewe zichange za kutosha vuta za kiume kama prado,harier,land cruiser v8 nk. Sasa kama wapo waume wanatinga skin tight na wewe ungependa kuwa mmoja wao?
 
hela yako inatosha kununua vigari ambavyo wewe mwenyewe na watu wengine wanaviita vya kike tu yaan vitz, paso, starlet. tafuta kwanza pesa
 
ImageUploadedByJamiiForums1466543958.505870.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1466543985.705198.jpg
 
Back
Top Bottom