Toyota cami ni gari nzuri sana gari yeyote ikichoka haiuziki hata ingekuwa hammer ,, cami ni gari nzuri sana halafu kwa vinjia vyetu ipo juu halafu haili mafuta, hiyo cami iliyo choka ipo wapi wakati cami mi version kutoka daihatsu terios ambazo na zenyewe ni nzuri na ngumu sana tu halafu zipo juu so hufikirii matuta,lakini pia tumia ushauri wa watu kujifunza kitu na sio kutumia ushauri huo kufanya maamuzi coz kila mtu ataongelea alicho nacho yeye na kukisifia, mwingine atakuja kukwambia (kobe) vox wagon/combi ipo poa ,kwa vile yeye anayo, mwingine atakwambia tractor nk. Tizama kwanza uhitaji wako kwenye gari ninini then chukua linalo kidhi haja yako.