Ushauri kuhusu uchimbaji mdogomdogo wa Madini

Ushauri kuhusu uchimbaji mdogomdogo wa Madini

Mkuu kama una uw
eze nenda msumbiji ruby ni nyingi na watanzania ni wengi wainaisaka uko. ila inabidi usiwe mtu wa kukata tamaa haraka
 
Mkuu cobe ruby gem kwa tanzania utadanganywa na kuliwa pesa zako bure. Labda kama una soko kweli la ruby uanze na Ruby high captions au captions zenyewe ambazo hata Arusha kule Longido waweza kuzipata.

Feldspar kwa sasa naona sokoni imesimama kidogo haitembei labda kama kuchimba uiweke kwa hapo Mid August ama mwenye soko aweza tujuza zaidi. Hizi nisingekushauri uchimbe mwenyewe bora kulangua kama alivyosema mkuu mmoja hapo juu. Kwani hii biashara imeingiliwa na watu wenye maduka ya jumla kariakoo wamemwaga pesa ndefu hivyo kusababisha mzigo kuwa mwingi sokoni na hivyo kufanya wanunuzi kuringia biashara

Kama unaweza na una nguvu tafuta hiyo sunstone ama chrysoprase. Hii ni kulingana na nguvu yako mkuu

Kila la kheri mkuu tunakutakia mafanikio mema
 
Mkuu kama una uweze nenda msumbiji ruby ni nyingi na watanzania ni wengi wainaisaka uko. ila inabidi usiwe mtu wa kukata tamaa haraka
asante sana FELIX nina mipango ya kutimkia uko japo bado sjapata ramani nzima ya mtipwezi kama kuna mtu anapajua vzuri angenisaidia maelekezo plz
 
Mkuu cobe ruby gem kwa tanzania utadanganywa na kuliwa pesa zako bure. Labda kama una soko kweli la ruby uanze na Ruby high captions au captions zenyewe ambazo hata Arusha kule Longido waweza kuzipata.Feldspar kwa sasa naona sokoni imesimama kidogo haitembei labda kama kuchimba uiweke kwa hapo Mid August ama mwenye soko aweza tujuza zaidi. Hizi nisingekushauri uchimbe mwenyewe bora kulangua kama alivyosema mkuu mmoja hapo juu. Kwani hii biashara imeingiliwa na watu wenye maduka ya jumla kariakoo wamemwaga pesa ndefu hivyo kusababisha mzigo kuwa mwingi sokoni na hivyo kufanya wanunuzi kuringia biasharaKama unaweza na una nguvu tafuta hiyo sunstone ama chrysoprase. Hii ni kulingana na nguvu yako mkuuKila la kheri mkuu tunakutakia mafanikio mema
nashukur xana kaka ila iyo sunstone na chrysoprase yana patkana wap na pia yanauzwaje kwa kilo, gram au carat?
 
kaa kunamtu anayejua raman nzma ya msumbij (mtipwezi) anisaidie wana jF
 
kaa kunamtu anayejua raman nzma ya msumbij (mtipwezi) anisaidie wana jF

1.Kama unaenda na ndege, Panda ndege inayo enda msumbiji pemba air port. Ndege hiyo inaitwa LAM. Kama haipo ulizia yoyote inayoenda Pemba ya msumbiji. Ukishuka apo, ulizia gari za kwenda montopwezi, ukishazi panda omba kushukia sehemu moja inayo itwa NANYUPU. Hapa ndo chimbo lipo haswaaa. Uko montopwezi ni makazi na mjini. Kumbuka msumbiji wanaongea kireno .ukiwa pemba unaweza ukapata bahati ukakutana na mtanzania au usipate mpaka utakapo fika montopwezi-Nanyupu. Hivyo ukifika air port.

Mwambie mtu yeyote kwa kireno kwamba unaitaji kwenda kituo chadaladala za kwenda montopwezi) Unaweza kusema hivi (stoapidiri, miamostra, e aonde na paraji di shapa di montopwezi) yaani ninaomba, unionyeshe ni wapi kituo (paraji) cha daladala (shapa) za montopwezi. Watakuonyesha. Hayo maneno nimeyaandikwa kwa Kiswahili hili upate kuyasoma vizuri. Ukisha panda hiyo shapa(daladala) mwambie konda akushushe nanyupu. Mwambie hivi kobura doli Nanyupu paraji. Yaani konda nanyupu shusha . Ukishashuka hutaona tofauti ya Tanzania wabongo ni wengi kaka.


.KWA BASI

2.Panda gari mpaka mtwara-ukifika mtwara itakuwa ni jioni. Chukua guest house yoyote ila ukilala guest ya kilindima mtwara inaweza kuwa vizuri zaidi kwasbb watu wanao enda msumbiji ulala pale, so unaweza kupata kampani

3.Asubuhi utapanda gari za kwenda boda, daladala zinapaki apo, nauli ni shs 5000 mpaka boda.
kumbuka kupitia emigiration
4.Ukifika boda panda mtumbwi kuvuta mto Ruvuma nauli ni shilling 5000-10000 ya Tanzania. Kabla haujapanda mtumbwi ulizia kama pantoni inafanya kazi. Kama inafanya kazi tumia pantone kuvuka nauli ni shs 500tshs na ni salama.

5.Ukisha vuka tayari utakuwa msumbiji upande wa pili, hivyo utapanda gari zingine mpaka MSIMBWA.kumbaka ukisha vuka utatakiwa kugonga passport kwa emigration. Kumbuka msumbiji kila sehemu wanakagua vitambulisho vya taifa au passport.


6.Ukifika MSIMBWA unaweza kupata bahati ukakuta gari ndogo private inaenda montopwezi ukapanda. Kama hutaipata, utatakiwa kulala msimbwa mpaka kesho yake asubuh, na utapanda gari zinazoenda montopwezi. Kama hazipo, utapanda gari zinazoenda NAMPULA then utaomba kushukia MITORO.


7.Ukiwa mitoro utaziona dala dala nyingi zinaenda montopwezi. Kumbuka ukitumia njia ya basi, kokote utakapo pita watu wanaongea Kiswahili hivyo hutapata shida sana. Msimbwa kuna kabila ya wamwani wanajua Kiswahili kabisa. Nauli ya kutoka mtoni mpaka MSIMBWANI 350mitikashi sawa na 18-20elf ya tshs. Kutoka Msimbwa mpaka Montopwezi andaa kama 500mitikashi ila haitaisha ni sawa na 25-26elf ya tshs.


Ziponjia nyingi ila soma hiyo kwanza ukiitaji nyingine nitakwambia mkuu. MUNGU WETU NA AKUTANGULIE NA KUKUFANIKISHA
 
Mkuu ulietoa maelekezo na ramani hapo juu ubarikiwe sana. Jamaa alietoa mada kazi kwake sasa kuyafuata. Mungu awabariki wote
 
Mkuu #Felix asante kwa udadavuzi mulua. Kuna jamaa huko juu kauliza kuhusu upatikanaji wa vifaa vya kupimia dhahabu kama ni fake au orginal, hv hapo?... make hata mie nimekua natafta wapi vinapatikana ila sijabahatika kujua. Je una ufaham wowote kuhusu hilo???
 
Mkuu #Felix asante kwa udadavuzi mulua. Kuna jamaa huko juu kauliza kuhusu upatikanaji wa vifaa vya kupimia dhahabu kama ni fake au orginal, hv hapo?... make hata mie nimekua natafta wapi vinapatikana ila sijabahatika kujua. Je una ufaham wowote kuhusu hilo???

Mkuu kwa apa Tanzania mimi sijaviona ila nimekuwa nikiviona mji mkuu wa Thailand-banckok. pale dhahabu inauzika sana na vifaa pia vipo. hivyo unaweza kugoogle then ukilizika na specification unaweza kutumia makapun yanayo agiza mizigo na ukapata mkuu.
 
1.Kama unaenda na ndege, Panda ndege inayo enda msumbiji pemba air port. Ndege hiyo inaitwa LAM. Kama haipo ulizia yoyote inayoenda Pemba ya msumbiji. Ukishuka apo, ulizia gari za kwenda montopwezi, ukishazi panda omba kushukia sehemu moja inayo itwa NANYUPU. Hapa ndo chimbo lipo haswaaa. Uko montopwezi ni makazi na mjini. Kumbuka msumbiji wanaongea kireno .ukiwa pemba unaweza ukapata bahati ukakutana na mtanzania au usipate mpaka utakapo fika montopwezi-Nanyupu. Hivyo ukifika air port. Mwambie mtu yeyote kwa kireno kwamba unaitaji kwenda kituo chadaladala za kwenda montopwezi) Unaweza kusema hivi (stoapidiri, miamostra, e aonde na paraji di shapa di montopwezi) yaani ninaomba, unionyeshe ni wapi kituo (paraji) cha daladala (shapa) za montopwezi. Watakuonyesha. Hayo maneno nimeyaandikwa kwa Kiswahili hili upate kuyasoma vizuri. Ukisha panda hiyo shapa(daladala) mwambie konda akushushe nanyupu. Mwambie hivi kobura doli Nanyupu paraji. Yaani konda nanyupu shusha . Ukishashuka hutaona tofauti ya Tanzania wabongo ni wengi kaka..KWA BASI2.Panda gari mpaka mtwara-ukifika mtwara itakuwa ni jioni. Chukua guest house yoyote ila ukilala guest ya kilindima mtwara inaweza kuwa vizuri zaidi kwasbb watu wanao enda msumbiji ulala pale, so unaweza kupata kampani3.Asubuhi utapanda gari za kwenda boda, daladala zinapaki apo, nauli ni shs 5000 mpaka boda. kumbuka kupitia emigiration4.Ukifika boda panda mtumbwi kuvuta mto Ruvuma nauli ni shilling 5000-10000 ya Tanzania. Kabla haujapanda mtumbwi ulizia kama pantoni inafanya kazi. Kama inafanya kazi tumia pantone kuvuka nauli ni shs 500tshs na ni salama.5.Ukisha vuka tayari utakuwa msumbiji upande wa pili, hivyo utapanda gari zingine mpaka MSIMBWA.kumbaka ukisha vuka utatakiwa kugonga passport kwa emigration. Kumbuka msumbiji kila sehemu wanakagua vitambulisho vya taifa au passport.6.Ukifika MSIMBWA unaweza kupata bahati ukakuta gari ndogo private inaenda montopwezi ukapanda. Kama hutaipata, utatakiwa kulala msimbwa mpaka kesho yake asubuh, na utapanda gari zinazoenda montopwezi. Kama hazipo, utapanda gari zinazoenda NAMPULA then utaomba kushukia MITORO.7.Ukiwa mitoro utaziona dala dala nyingi zinaenda montopwezi. Kumbuka ukitumia njia ya basi, kokote utakapo pita watu wanaongea Kiswahili hivyo hutapata shida sana. Msimbwa kuna kabila ya wamwani wanajua Kiswahili kabisa. Nauli ya kutoka mtoni mpaka MSIMBWANI 350mitikashi sawa na 18-20elf ya tshs. Kutoka Msimbwa mpaka Montopwezi andaa kama 500mitikashi ila haitaisha ni sawa na 25-26elf ya tshs.Ziponjia nyingi ila soma hiyo kwanza ukiitaji nyingine nitakwambia mkuu. MUNGU WETU NA AKUTANGULIE NA KUKUFANIKISHA
nakushukulu xana yan zaid ya sana felix, kwa maana umenitafunia kilakitu kilicho bak n mm kumeza tu, nakuhaid ushauli wako na maelekezo yako nta yafuata, ungu akuongezee
 
Nchi yetu inafaham fika mchango wa wafanyabiashara hapa nchini, sijui kwanini haiwadhamini.
 
Back
Top Bottom