Ushauri kuhusu ujenzi

Ushauri kuhusu ujenzi

Ukiwa na Architect aliyehusika kukuchorea ramani yako atakuongoza kuanzia hatua ya kwana hadi mwisho jinsi ya kupata kibali chako cha ujenzi.Ushauri tu penda kutumia wataaramu husika kwenye kitu husika.inasaidia sana kupata matokeo chanya kwenye kitu unachokifanya.

kweli kabisa mzee maana ukienda na hawa wazee wa tantalila utaangukia pua
 
Kila kitu kinawezekana, kwa ushauri mwepesi sema na jirani yako aliyekwisha Jenga na muulize kuhusu fundi aliyemjengea na gharama zake ukishazipata ongea na fundi kirefu na asiwe huyo tu tafuta na mafundi wengine hata wanne utakayoyapata kwao utajua pa kuanzia na ikiwa kiwanja ni tambarale basi utatumia gharama nafuu zaidi, ila hiyo mitaa ni vizuri sana fundi kukuwekea kitako chini kabla ya kujenga tofali na kufunga mkanda ikiwezekana hata nguzo fup za msingi kwa kila kona!
kwa kuanzia weka msingi kwanza theni awamu ya pili unakimbiza mpaka kwa madirisha ukija ya tatu unaenda mpaka lenta theni unavuta pumzi ya kupaua!
Shukran sana, nitalifanyia kazi hilo la jirani. Maana nina kama kamlima kidoogo..
 
Ukiwa na Architect aliyehusika kukuchorea ramani yako atakuongoza kuanzia hatua ya kwana hadi mwisho jinsi ya kupata kibali chako cha ujenzi.Ushauri tu penda kutumia wataaramu husika kwenye kitu husika.inasaidia sana kupata matokeo chanya kwenye kitu unachokifanya.
Uko sawa kabisa mkuu.. Na kwa mtu ambae nina safiri sana nje, tiyari nina idea ya nyumba niitakayo hivyo lazima mtaalam ahusike ili kupata kitu bora.
 
Habari zenu ndungu zangu,

Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi.

Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara.

Maswali yangu ni yafuatayo :
1) Je, naweza kujenga nyumba ya vyumba 4 hapo?
2) Nianzie wapi katika project ya ujenzi wangu? Ninunue kwanza matofali?

Shukran kwa maoni yenu wakuu!

Haki ya Mungu elimu ya Tanzania ni ya kuunganisha kwa kweli....Yaani mtu una hela kisha unataka watu wakuambie what to do na hizi hela. Basi niletee mimi hizo hela uone nitazifanyia nini.
 
Unaweza kujenga lakini itakuchukua miaka kumaliza.

Unaonaje ukitafuta mkopo wenye riba nafuu ili uwe unakatwa kila mwezi walau laki mbili?
Mfano ukiweza kukopa 8-10 M utaweza utaweza kujenga vyumba 2 na sebule ukahamia kisha baadae ukaendelea na ujenzi wa nyumba kubwa au ukaacha matoleo.
]
I
Mbona kama hujamshauri vyema. Ujenzi kwa laki nne kwa mwezi unawezekana vizuri anunue tofali slow baada ya miezi mitatu atakuwa ameshapata tofari 1200 mwezi unaofuata anatafuta mifuko kadhaa ya cement na maji na mchana mwezi wa tano anatafuta fundi atajenga slow akifikia kufunga lenta ndo anaweza kuchukua mkopo
 
Unaweza kujenga lakini itakuchukua miaka kumaliza.

Unaonaje ukitafuta mkopo wenye riba nafuu ili uwe unakatwa kila mwezi walau laki mbili?
Mfano ukiweza kukopa 8-10 M utaweza utaweza kujenga vyumba 2 na sebule ukahamia kisha baadae ukaendelea na ujenzi wa nyumba kubwa au ukaacha matoleo.

Mkopo utaweza kurejesha kwa miaka 2 n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kukatishana tamaa wewe jamaa

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Usisahau pia kufanya haya kabla ya ujenzi...
-Ramani ya mpango miji.
-Kusaka hati ya kumiliki kiwanja.
-Kibali cha ujenzi.

Ni mambo fulani (siyo ya lazima sanaaa!) yamekaa kipuuzi fulani, yanachosha kuyafikiria, lakini katika zama hizi za kuja kubomolewa bila kulipwa fidia wala kuhurumiwa, yana msingi mkubwa.
Boss samahan kibali huwa sh ngap

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kawaida kila ujenzi mpya unaotaka kujenga kama haupo kwenye kibali cha mwanzo unahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Japo kuna watu wanajenga bila kufuata utaratibu.

Kuhusu gharama za kibali za ujenzi huwa zinatofautiana kutokana na halmashauri.Kuna baadhi ya halmashauri wanafanya sh 50000 kwa nyumba za chini.na kuna baadhi ya halmashauri wanachaji kwa square meter haizidi sh 500 kwa square meter moja
Kibali kimejibiwa apa
 
NACHOONA HAPA KUNA WATU HAWAJAJA KUTOA MSAADA ILA WAMESHAIONA FURSA YA BIASHARA WAPUUZI HAWA. ..

Kuna mtoa mkopo na architect humu
 
NACHOONA HAPA KUNA WATU HAWAJAJA KUTOA MSAADA ILA WAMESHAIONA FURSA YA BIASHARA WAPUUZI HAWA. ..

Kuna mtoa mkopo na architect humu
Wewe nae una akili mbovu,kama unajenga kwenye plot hayo aliyisema huyo architect ni lazima ila sio lazima awe yeye
 
Back
Top Bottom