Ushauri kuhusu uuzaji wa vifaa vya simu kwa kutembeza mitaani

Ushauri kuhusu uuzaji wa vifaa vya simu kwa kutembeza mitaani

kallase

Member
Joined
Mar 18, 2020
Posts
27
Reaction score
43
Habari zenu Wana JF

Mimi Ni kijana mwenye kipato kidogo kitakachoniwezesha kununua vifaa vya simu km covers, protectors na ear phones na kwa kuwa sina frame nawaza kuwa nazungusha mwenyew kutafuta wateja hasa kwenye vituo vya mabasi na sehemu zenye mkusanyiko wa watu.

Kwa yeyote aliye na uzoefu wa kazi hii naomba ushaauri wake kwa chochote like nachotakiwa kuzingatia au nisikifanye wakati nafanya shughuri hii

Asateni.
 
Kwa ushauri mwngne jaribu kuuza na online pia watu wapo
 
Back
Top Bottom