Ushauri kuhusu wazo la huu mfumo

IPO taasisi inaweza tumika kama msambazaji wa vitu unavyouza.na kupokea pesa wakati mteja anapoenda kupokea alichonunua mkoani popote Tanzania.hii taasisis yenyewe kufanya E Commerce,Sheria zake zinakinzana,ila mtu/Kampuni binafsi inaweza tumia miundo mbinu yake kusambaza na kupokea malipo kuktumia miundombinu yake.System ya E Commerce ni $35,000.
Karibu
 
Technology inavyokimbia tutafika tu huku
 
Technology inavyokimbia tutafika tu huku
True, technology inatufikisha huko, kwa vile hatuna uaminifu wa viwango vya amazon, ebay nk, lazima biashara zifanyike namna hiyo.
 
Aisee umefafanua vizuri kabisaa sasa nikujibu ili uongeze nyama na madini

1.Nia yangu ecommerce hii sio kuuza vitu vyangu kabisaa labda itokee kwa bahati mbaya.Ila nia ni User kupost vitu vyake selller na bayer wakutane

Mpango kazi:
Kutokana na changamoto ya kununua vitu huko IG,whatsapp au kokote kuonekana na wizi mwingi.Ndio sasa linapokuja hili wazo la kuanzisha ecommerce ambapo seller atakutana na Buyer atakua na uwezo wa kuchat nae vizuri kabisa na hata kumpigia.

Changamoto:
Njia ya Malipo ambayo seller atapokea pesa moja kwa moja bila kupitia kwa mtu ILA tu kwenye hayo malipo kuna asilimia kadhaa inakwatwa na kampuni(ecommerce)

Pili,Kutokana na kutoaminiana Naona App hii kuwe na feature ambayo kabla ya seller kupost bidhaa zake.Awe amepitia vetting ikiwemo verification ya kitambulisho cha Nida,TIN n.k hapo ndio mfumo utaapprove kama seller ni genuine au LA.

Tatu,Kutakuwa na feature ya REVIEW kwa seller kama kawaida.seller mwenye review nyingi nzuri atajiweka nafasi nzuri ya kuuza zaidi bidhaa zake.Seller mwenye review ndogo atawekwa kikaangoni.Ikiwemo kumfutia ID(account) yake kwenye database ikibainnika utapeli wa aina yoyote.

Nne,Feature nyingine ni Seller ataweza kulipia Blue tick na kampuni ikiapprove ni genuine itampatia Bluetick na kumuongezea premium features kama vile bidhaa yake kuwa promoted as top ads

Tano:Technology nayopanga kutumia ni Flutter,sqlite,php,js,react,next js n.k ila itakuwa App based tu kwa kuanzia.Halafu badae ndio tutaweka na website.

Mwenye chochote cha kuchangia karibu tukamilishe ndoto hizi wakuu..KARIBUNI
 
Ukitaka kujua kikwazo ni nini nenda kwenye hizo kampuni za simu waambie unataka api ,

Watakupa list ya vitu wanavyo taka kisha uanze kuvifatilia ,

Hapo ndio utaelewa why! Kwaniniiii!
 
Ukitaka kujua kikwazo ni nini nenda kwenye hizo kampuni za simu waambie unataka api ,

Watakupa list ya vitu wanavyo taka kisha uanze kuvifatilia ,

Hapo ndio utaelewa why! Kwaniniiii!
Nasikia wanamasharti kama yote?kwa harakaharaka mambo gani ni magumu kupata Api zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…