vanus
JF-Expert Member
- May 27, 2017
- 1,151
- 2,896
Wakuu kwema?
Naombeni ushauri mzuri na procedures za kufata ili kukamilisha website ya biashara ya utalii.
Namaanisha hatua ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka kukamilisha website na gharama zake.
1. naomba msaada wa kufahamu website nzuri kulingana na biashara husika na bei yake, na namna ya kuendesha website ili kupata wateja/watalii
2.nahitaji kujua hatua nyingine za kiserikali ambazo zinahitajika kufatwa na gharama zake, pamoja na maswala ya kodi nalipaje?
3.namna ya kusajili jina brela na gharama zake, nimesikia na maswala ya Tala naomba ufafanuzi wakuu
Hizo ni taarifa chache nilizopata kwa wadau naombeni ufafanuzi wa hayo pia ufafanuzi wa mambo mengine muhimu ambayo hayajatajwa hapo juu.
Natanguliza shukrani wakuu.