Ushauri kuhusu website ya biashara ya utalii

vanus

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2017
Posts
1,151
Reaction score
2,896
Wakuu kwema?

Naombeni ushauri mzuri na procedures za kufata ili kukamilisha website ya biashara ya utalii.

Namaanisha hatua ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka kukamilisha website na gharama zake.

1. naomba msaada wa kufahamu website nzuri kulingana na biashara husika na bei yake, na namna ya kuendesha website ili kupata wateja/watalii

2.nahitaji kujua hatua nyingine za kiserikali ambazo zinahitajika kufatwa na gharama zake, pamoja na maswala ya kodi nalipaje?

3.namna ya kusajili jina brela na gharama zake, nimesikia na maswala ya Tala naomba ufafanuzi wakuu

Hizo ni taarifa chache nilizopata kwa wadau naombeni ufafanuzi wa hayo pia ufafanuzi wa mambo mengine muhimu ambayo hayajatajwa hapo juu.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Info zinauzwa hizo kuna full detailed document nikuuzie?
 
Kwa design ya muonekano was hio Website nicheki PM
 
Wakuu kwema?

Naombeni ushauri mzuri na procedures za kufata ili kukamilisha website ya biashara ya utalii.

Namaanisha hatua ya kwanza mpaka ya mwisho mpaka kukamilisha website na gharama zake.

1. naomba msaada wa kufahamu website nzuri kulingana na biashara husika na bei yake, na namna ya kuendesha website ili kupata wateja/watalii

2.nahitaji kujua hatua nyingine za kiserikali ambazo zinahitajika kufatwa na gharama zake, pamoja na maswala ya kodi nalipaje?

3.namna ya kusajili jina brela na gharama zake, nimesikia na maswala ya Tala naomba ufafanuzi wakuu

Hizo ni taarifa chache nilizopata kwa wadau naombeni ufafanuzi wa hayo pia ufafanuzi wa mambo mengine muhimu ambayo hayajatajwa hapo juu.

Natanguliza shukrani wakuu.
Inakubidi ulipie host(server) na domain name mfano mwanzatourism.com

Kisha install WordPress na utachagua themes zipo za bure na za kubinua ama unaweza tafuta mtaalamu akakuundia.

Baada ya hapo utakuwa Una KAZI ya kufanya content marketing ili watalii watembelee tovuti yako.

Kwa maana watalii wengi hutafuta info za sehemu wanazotarajia kutembelea kutumia Google na search engine nyinginezo.

Hapo ndipo unapotakiwa kujifunza SEO (search engine optimization) ili kujua keywords watalii wanazozitumia kwenye Google kutafuta taarifa za eneo husika

Kwa mfano mtalii anaweza andika kwenye Google "best places to visit in dar es salaam", utahitajika kuandika makala inayopendekeza maeneo mazuri Kwa ajili ya mtalii ya dar.

Kadri tovuti yako inavyootokea kwenye keywords za kitalii ndivyo utakuwa unapata watalii wengi.

SEO inachukua muda Kwa njia ya haraka itakubidi ununue matangazo ya Google Ads ambayo utakuwa unalipia keywords za kibiashara za kitalii kama hiyo best places to visit in dar
 
Nashukuru sana, nimepata kitu
 
Hello Boss,
Kama unahitaji kuanzisha kampuni ya utalii tafadhali tuwasiliane kwa email masokotz@yahoo.com.Hata hivyo kwa faida yako na ya wengine gharama ulizouliza hapo juu ni kama ifuatavyo:

  1. Gharama ya website inategemea na ubora na mahitaji ila website ya chini complete y Utalii unaweza kupata kuanzia TZS 500,000.Website inakuwa na ada za kila mwaka ambazo ni kwa ajili ya domain na hosting etc ambazo nazo zinatofuatiana
  2. Usajili wa Jina brela ada yake ni 20,000 na pia kuna kuwa na ada ya kilamwaka.
  3. Leseni zipo za aina mbili.Kuna leseni ya wakala wa safari ambayo gharama yake inaanzia TZS 200,000 na kuna leseni ya uendeshaji wa shughuli za utalii ambayo inaanzia USD 500 au equivalent hii inatolewa chini ya sheria ya TALA na ina masharti ikiwamoumiliki wa magari.
  4. Kuna leseni ya kuwa TOUR GUIDE ambayoinatolewa pia na hawa TALA
Masharti haya yanaweza kuonekana mazito hasa ukizingatia hali ya uchumi ilaiwapo nimgeni kabisa basi tunaweza kuwasiliana ili tuangalie namna tunaweza fanikisha kwa kusaidiana na wewe kwa email masokotz@yahoo.com au simu 0710323060.
 
Shukrani sana mzee, ntakucheki
 
Mkuu dodoma kuna fursa gani za utalii ukiachana na kondoa irangi?
 
Kuna Poli la wanyama maya maya kama una enda chemba... makotopola kwa mbele au veyula kwa mbele...

Pia kuna utalii wa historical sites kama huko mpwapwa maeneo ambayo wakoloni waliishi na kujenga, maeneo ya makambi ya wapigania uhuru wa South Africa kama pale Morogoro

Kuna utalii wa Cultural au Culture, hapa kuna tamaduni za kigogo, kirangi na jamii zingine zinazo patikana Dodoma

Kuna City tour kutembelea maeneo mbalimbali ya mjini kama Bunge, Vyuo, Ikulu ya zamani na sasa, maboma, reli 🚉 station, nk

Forest tour kuna mapori yamehifadhiwa na mamlaka kama tfs chemba na kondoa hivyo ina weza kuwa fursa kuangalia nature

Kuna hizo mamichoro ya mapangoni

Kuna mengi tu ya kutembelea Dodoma!
 
Back
Top Bottom