Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Jenga nje ya mji , hewa safi nk ...mimi najipanga nijenge Kisongo, Arusha nikinunua na Toyota crown hybrid ya 2021 na Mitsubishi outlander yangu ya 2018 itatosha...ndoto za kununua apartment Masaki au Upanga zimeyeyukaHabari wakuu,
Nahitaji ushauri wa wapi panafaa kujenga nyumba kwa ajili ya familia, option ya kwanza ni mjini,hii namaanisha sehemu ambayo haiko mbali na mjini na tayali kuna maendeleo kama barabara, umeme na huduma zingine za msingi,kero yake ni tayali kumeshabanana, utulivi hakuna na kiwanja sio kikubwa cha kuweza kujiachia au kufanya uwekezaji.
Option ya pili ni kujenga nnje ya mji,huku maendeleo bado hayajafika kama maji na umeme lkn barabara inafikika, uzuri wake kunautulivu, hali ya hewa nzuri na uwezekana wa kufanya uwekezaji mwingine upo kama vile kufuga, bustani n.k,kama ungelikuwa ni wewe ungechagua option gani na kwanini?
Tena nitalima na bustani ili Nile mbogamboga fresh kabisa na nitafuga kuku wa kienyeji