Ushauri natarajia kwenda advance miezi michache badae but kuna baadhi ya topic nilizipotezea ktk Chemistry na physics wakati nipo O-level,wale waliopitia hiyo njia kuna ulazima nizisome maana hivi salsa napiga pre-form five mwanzo mwisho