Ushauri. kuna ulazima wa kuzisoma topic nilizo ....

Javis Elias Balilemwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
489
Reaction score
67
Ushauri natarajia kwenda advance miezi michache badae but kuna baadhi ya topic nilizipotezea ktk Chemistry na physics wakati nipo O-level,wale waliopitia hiyo njia kuna ulazima nizisome maana hivi salsa napiga pre-form five mwanzo mwisho
 
acha tabia ya kupotezea kila kitu kina umuhimu wake!
 
We Komaa Na Advance , Olevel Na Advance ,ni Vitu Viwili Visivyolandana
 
Back
Top Bottom