Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
TUKUULIZE KWANZA UNATEGEMEA NINI KWENYE HIYO GARI?Habari za jioni ndugu zangu,
Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa magari nimevutiwa na Toyota Runx, Allex na Premio ( Mawazo yanaweza kubadilika kulingana na ushauri wenu). Naomba ushauri wenu kwa kuzingatia gharama za maintenance na ulaji wa mafuta. Ahsanteni.
Kama nilivojieleza sina uzoefu wa magari ila kwa haraka haraka nimeangalia shape ya gari, maintenance costs na ulaji wa mafuta.TUKUULIZE KWANZA UNATEGEMEA NINI KWENYE HIYO GARI?
unaangalia vigezo gani muhimu kabla...
maana siku hizi magari mengi
okay,Kama nilivojieleza sina uzoefu wa magari ila kwa haraka haraka nimeangalia shape ya gari, maintenance costs na ulaji wa mafuta.
Karibu kwa ushauri mkuuokay,
chukua RUN X kwa safari ndefu, maintenance sio ghali sana...Karibu kwa ushauri mkuu
Nashukuru sana kwa ushauri.chukua RUN X kwa safari ndefu, maintenance sio ghali sana...
FRESHNashukuru sana kwa ushauri.
Nashukuru sana mkuu, pia naona Premio ni almost 17.5M na Runx ni 14.5M, hii tofauti ya bei yaweza kua sababu gani?Kati ya runx na premio ni ngumu Sana kufanya uchaguzi Ila kama hautojali chukua Toyota runx
Hahahaha mi naona RunX ndio imekaa kinyamwezi sana hata ukiitia 17" rims inasimamia ukucha kweliKama mara yako ya kwanza kununua gari chukua gari ya taifa IST usichukue ya cc 1200 chukua ya 1400 na ushee na kama ni mtu wa safari chukua ya kuanzia mwaka 2008 ya cc 1700 na ushee